Sababu 05 muhimu kwanini mtoto wako apewe chanjo | Dr. Rafiki
Update: 2025-04-17
Description
Habari Rafiki, Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tunazungumzia suala zima la chanjo, na tunaenda kukueleza sababu 05 muhimu kwanini mtoto apewe chanjo.
Karibu tujifunze pamoja
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia barua pepe
dr.rafikiafrica@gmail.com
Comments
In Channel